Maelezo ya picha, Ndovu ndiye mnyama anayelala kwa muda mfupi zaidi duniani 2 Machi 2017 Wanasayansi waliowafuatilia ndovu wawili nchini Botswana wamebaini kuwa wanyama hao hulala muda mfupi zaidi ...