Étienne Tshisekedi wa Mulumba. Kwa mujibu wa mtaalamu wa siasa katika Chuo Kikuu cha Katoliki cha Graben, Gaucher Kizito "mwanasiasa huyu alifaidika na bado anafaidika na umaarufu wa baba yake." ...
Miezi minne baada ya Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilomba wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kuamua kuachana na ushirika na mtangulizi wake Joseph Kabila Kabange na hivyo kuivunja serikali ya ...