KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania ...
TETESI za usajili zinasema Chelsea inatafakari kumsajili winga wa Manchester United raia wa Argentina, Alejandro Garnacho, ...
Tanzania chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa kinara wa hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.
MIKOPO kwa njia ya kidijitali imeanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) huku ikielezwa ...
MADRID, Hispania: SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini ...
UTOAJI wa elimu ya kisheria kwa wananchi mkoani wa Mtwara kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal ...
MHASIBU msaidizi wa Zahanati ya Endanachani , Mohamed Baya ,33, mkazi wa Babati wilayani Babati mkoani Manyara ...
Kwa mujibu wa Issa, biashara zinazopata chini ya Sh milioni nne kwa mwaka hazihusiki na kodi ya mapato huku za kundi la juu ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kodi ya serikali lazima ilipwe na asitokee mtu yeyote anayetaka kukwepa kulipa ...
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amethibitisha kuunga mkono Israel, siku chache baada ya kusitishwa kwa mapigano Gaza.
Senzigwa amesema kuwa tayari vikundi 15 vilivyokidhi vigezo vimeshakopeshwa ikiwa ni pamoja na kukidhi vigezo viliwekwa kwa mujibu wa taratibu mpya za serikali. Amesema katika vikundi hivyo 15 ...
Dar es Salaam: Katika kuashiria ujio mpya wa teknolojia ya simu zinazotumia akili mnemba (AI), Samsung imekuja ...