Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini ...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendelea na juhudi zake za kutoa elimu kwa watumishi wa Mahakama ...
Baada ya kukamilika mchakato wa kupangiwa vituo vya kazi, waombaji wote wa kazi za mkataba katika Mpango wa Uwekezaji katika ...
Kutokana na ari hii, Bahati alianzisha taasisi ya kiraia iitwayo Msichana Kwanza, ambayo imekuwa na mchango mkubwa katika ...
Serikali ya Lesotho imeshangazwa na kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba "hakuna aliyewahi kusikia kuhusu" taifa ...
KWA Mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya vijana nchini ni asilimia 34.5 ya Watanzania wote na kati yao, ...
Agosti 18, mwaka 2023 ni siku ambayo, John Chalya,mkazi wa kijiji cha Mwamanenge wilaya ya Maswa mkoani Simiyu hatoisahau katika maisha yake, kutokana na kumpoteza mtoto wake, Nkamba John (3) ambaye a ...
amebainisha kuwa kutokuwa na ajira za kudumu kunawaathiri waandishi kwa kuwanyima fursa ya kupanga maisha yao kwa utulivu: “Mbali na masuala ya malipo, waandishi wengi hawapati bima za afya wala mafao ...
huduma za afya kwa wote, elimu, na huduma thabiti za malezi ni muhimu ili kuwawezesha wanawake na wasichana kustawi. Hii itazalisha ajira milioni nyingi zenye heshima na rafiki kwa mazingira.
Ripoti zinaonyesha kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za watoto kila siku, ikiwa ni pamoja na kuingizwa katika makundi ya waasi, ajira kwa watoto ... Mbali na uhaba wa chakula, huduma muhimu kama vile afya ...
Afya ya akili ni sehemu muhimu katika maisha ya mchezaji haswa wachezaji wachanga ambao wanakua michezoni. Kushiriki katika michezo kama tenisi hutoa faida nyingi za afya ya akili kwa watoto na ...