ALHAMISI wiki mbili zilizopita, safu hii ilikuwa na sehemu ya kwanza iliyofafanua hali ngumu ya upatikanaji maji wilayani Kilosa, mkoani Morogoro. Endelea nayo, kwa ufafanuzi wa mamlaka zinazosimamia ...
Mwenyekiti kamati ya Miradi na Ufundi ya Bodi ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Ngwisa Mpembe ameipongeza Menejimenti ya RUWASA kwa kufanikisha utekelezaji wa miradi ...
Ilidaiwa kuwa marehemu alikuwa amechimba dimbwi la maji kando ya mto wa eneo hilo alilokuwa akitumia kunyweshea mifugo yake na wakati wa ukame huwakataza wanakijiji wenzake kuchota maji hayo.
Rukwa. Miili ya wavuvi tisa kutoka kata za Mtowisa na Nankanga, wilayani Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa waliopoteza maisha kutokana na dhoruba katika Bonde la Ziwa Rukwa usiku wa Januari 23, 2025, ...