KOCHA, Ruud van Nistelrooy ameripotiwa kutibuana na wachezaji wake wa Leicester City baada ya kichapo kutoka kwa Fulham.
NDO hivyo. Mason Greenwood amefanya uamuzi wa kuifungia milango England na hivyo kuchagua kuitumikia Jamaica kwenye soka la ...
NITAKUSIMULIA kitu. Nitakusimulia stori maarufu ya mshambuliaji wa Galatasaray anayeitwa Mauro Icardi. Staa huyu wa Argentina ...
WIKI kadhaa za uvumi mwingi kwenye dirisha hili la Januari zimekatika na sasa majibu ya maswali muhimu ya kuhusu mpango wa ...
Makocha wa timu nne zinazoshika mkia kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara wana wiki mbili za kujiandaa kujibu mitihani ...
Katika kuhakikisha inafanya vizuri kwenye mashindano ya ndani baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ...
UNAMKUMBUKA yule straika mwili jumba, Makabi Lilepo aliyekuwa akiwindwa na Yanga tangu msimu uliopita ili kuja kuziba nafasi ...
Baraza la vyama vya mpira wa miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) limetangaza kuwa rais wake Wallace Karia ndio atakuwa ...
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo ...
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imesema kupanda kwa viwango vya ubora wa Ligi Kuu Bara kumetokana na mambo makuu manne.
WAKATI Kocha mpya wa Ken Gold, Vladslav Heric akianza kazi katika timu hiyo akisaka rekodi ya kwanza nchini, anakabiliwa na mitihani kadhaa itakayompaisha au kumwangusha.