Nchini humo, utapata makaburi ambayo yangegeuzwa kuwa nyumba, matajiri wengi wangejivunia kuishi. Ni makaburi makubwa yaliyojengwa na kuwekwa huduma za kisasa na vitu vingi vya anasa. Kuna baadhi ...
“Mke wangu alifariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa siku tatu tu. Alikuwa anavuja damu kila mahali tulipompeleka hospitali ...
Hadi wiki chache zilizopita, walikuwa wakifanya kazi hiyo bila malipo rasmi - kuchimba makaburi, kuosha maiti na kutunza makaburi, wakipokea michango kidogo tu kutoka kwa waombolezaji. Mava ya ...
Hali ya majonzi na simanzi imetawala katika mioyo na nyuso za mamia ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ...