NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Freeman Mbowe ameomba achaguliwe tena kukiongoza chama ...
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia watanzania na jumuiya za kimataifa kuwa Tanzania ni eneo salama licha ya kubainika kisa kimoja cha mtu aliyeambukizwa virusi vya ugonjwa wa Marburg ...