JESHI la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia kwa mahojiano aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweeden, Dk Willibrod Slaa. Slaa alikamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10,2025 ...
Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Sharifa Suleiman, leo amechukua fomu kuwania nafasi ya uenyekiti wa baraza hilo. Kwa takriban miaka minne, Sharifa amekuwa Makamu ...
Wananchi wa Kijiji cha Isangawane Kata ya Matwiga wakiendelea na shughuli ya uchimbaji wa makaburi kwa ajili ya kuzika miili mitano ya watu waliopigwa na radi usiku wa kuamkia leo Desemba 29, 2024.
“Makaburi ya wazazi wangu yako hapa, hatukatai kuondoka, lakini tunaondoka tunaenda wapi? Tunaondolewa bila kupewa utaratibu hata kuku anajengewa tundu,” amesema Mkumba. Mkumba amekiri kuwa wanapewa ...