ALHAMISI wiki mbili zilizopita, safu hii ilikuwa na sehemu ya kwanza iliyofafanua hali ngumu ya upatikanaji maji wilayani Kilosa, mkoani Morogoro. Endelea nayo, kwa ufafanuzi wa mamlaka zinazosimamia ...
Mwenyekiti kamati ya Miradi na Ufundi ya Bodi ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Ngwisa Mpembe ameipongeza Menejimenti ya RUWASA kwa kufanikisha utekelezaji wa miradi ...