BAADA ya kushusha majembe matatu kwenye dirisha dogo la usajili, Yanga Princess imesema bado wengine wanakuja.
KAMA ulikuwa na hamu kubwa ya kumuona winga mpya wa Yanga, Jonathan Ikangalombo akianza kuitumikia timu hiyo, taarifa njema ...
Dar es Salaam. Katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ...
KLABU ya Yanga imesema kuwa itawatangaza wachezaji wake iliyowasajili kipindi hiki cha dirisha dogo, itakaporejea nchini ...
WAKATI zimebaki siku sita tu kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa, Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kupata saini ya kiungo mkabaji matata wa Singida Black Stars, Kelvin Nashon. Habari ...
Kati ya timu 16 zinazoshiriki ligi hiyo, 12 zimeanza mzunguko wa pili kwa maana ya kucheza mchezo wa 16 isipokuwa Simba, Yanga, Tabora United na Kagera Sugar. Katika muktadha wa mpira wa miguu, neno ...
Dirisha la uhamisho wa Januari ni wakati mgumu sana kufanya biashara. Lakini ratiba iliyosheheni mechi, majeruhi, malipo au mvutano wa kusalia, hayo yote yamaanisha makocha kadhaa wa Ligi Kuu ya ...
Orlando Pirates booked their place in the quarter-finals of the TotalEnergies CAF Champions League with a 2-1 win over Chabab Belouizdad in Johannesburg on Sunday. The result not only ended the ...
(Fabrizio Romano) Huku usajili wa Walker ukikaribia, Milan sasa wamepunguza shauku ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na England Marcus Rashford, 27. (L'Equipe) Aston Villa wanapigiwa ...
Where would our community be without an independent, reliable and respected voice for cycling and transportation? One that covers breaking news, helps foster productive dialogue, amplifies the work of ...
Fursa kwa wachezaji wapya kuingia kwenye mfumo Kwa timu zilizosajili wachezaji wapya katika dirisha dogo la usajili, watatumia muda huu wa kuwaingiza kwenye mfumo wa timu. Hii itasaidia kuboresha ...