News

Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi amesema Serikali itashirikiana na vyama viwili vya mawakili katika masuala ya kisheria ...
Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi katika kesi ya jinai inayowakabili wanafunzi watatu wa vyuo vikuu, likiwemo la kusababisha madhara ya kimwili, bado unaendelea.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi mpya wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) ...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika historia mpya kwenye muziki huo usiku wa kuamkia leo Juni 14, 2025, baada ya kuujaza ukumbi wa Royal Albert uliopo jijini London kwa ...
Mtayarishaji na Muongozaji wa Tamthilia inayofanya vizuri katika mtandao wa YouTube ya ‘Dunia’ Issa Madinga maarufu Baba Asma ameweka wazi kukataa mapendekezo kadhaa kutoka kwa wamiliki wa ...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 ...
Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika Mashariki jana waliwasilisha bajeti za Serikali zao kwa mwaka wa fedha 2025/2026, huku ...
Jeshi la Jadi Sungusungu Wilaya ya Shinyanga limeweka kanuni 33 zitakazotumika kudhibiti uhalifu kwenye maeneo yao ikiwa ni ...
Mjadala unaoendelea kuhusu matishio ya kiusalama yakiwemo matukio ya ama watu kutekwa au kuuawa ambayo yamezua wasiwasi ...
Mbunge wa Viti Maalum Bernadetha Mushashu ameshangaa kwa nini Mkoa wa Kagera kila wakati unatajwa kuwa ni masikini.
Kamanda Abwao alisema uongo wa maelezo ya utambulisho wa Delimu umeibua taharuki katika jamii na kusababisha usumbufu kwa ...
Moja ya alama kuu za juhudi za Serikali katika kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi, ni Daraja la JP Magufuli, ambalo ...